Usajili unasimamiwa kupitia app stores za iOS na Android.
Unaweza kughairi wakati wowote na kwa sababu yoyote kupitia App Store au Google Play.
Refunds kwa kawaida hushughulikiwa na Apple au Google.
Kama usajili hauonekani, tumia restore purchases au tuandikie [email protected].