<aside> <img src="/icons/robot_purple.svg" alt="/icons/robot_purple.svg" width="40px" />

Hatuuzi data yako. Kamwe. Maulizo yako, mazungumzo na maudhui binafsi hayauzwi kwa watangazaji.

</aside>

Jinsi Leni inavyotumia AI

Leni inaweza kutumia AI kujibu maswali, kueleza maudhui, kufanya muhtasari na kukusaidia kupata hatua zinazofaa.

AI ni zana

Majibu ya AI yanaweza kusaidia, lakini yanaweza kukosea au kuwa pungufu. Hakiki mambo muhimu kila wakati.

Usichoweka

Usiweke passwords, taarifa za malipo, nyaraka, namba za utambulisho au taarifa binafsi za watu wengine.

Mawasiliano

Kama jibu linaonekana kuwa si sahihi au lina tatizo, andika kwa [email protected].